RAISI KIKWETE AREJEA DAR ES SALAAM AKITOKEA MPANDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AREJEA DAR ES SALAAM AKITOKEA MPANDA


Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda  cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja  wa  ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es Salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kulia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages