|
|
| Mbunge wa Viti Maalumu, Al-Shaymaa Kwegyir akitokwa machozi baada ya kumuona kijana Robert Tangawizi (14) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino) alivyojeruhiwa mkono wa kushoto na kisha kunyofolewa vidole vitatu vya mkono wa kushoto, wakati alipomtembelea hospitalini Geita mkoani Mwanza. (Picha na David Azaria). |
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)