
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akiangalia maonesho
ya bidhaa mbalimbali za vikundi vya ushirika vya akina mama,katika
viwanja vya Salama Bwawani Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza
vikundi hivi katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC
uliomalizika jana

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akipata maelezo
kutoka kwa Saida Ali Mohamed wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,maendeleo ya
wanawake na watoto,alipotembelea maonesho ya bidhaa mbali mbali za
vikundi vya ushirika vya akinamama,katika viwanja vya Salama Bwawani
Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza vikundi hivi katika mkutano wa
Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC uliomalizika jana

Rais
wa Shirika la African Investiment Corporation,pia mtendaji mkuu
kutoka Marekani,Daniel Anagho,akitoa mada inayohusu Masuala ya
utalii,katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC
uliomalizika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)