RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA JAPAN NA SUDAN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA JAPAN NA SUDAN

Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan hapa nchini Mheshimiwa Yassir Mohamed Ali huko Ikulu Oktoba 24.2011.
Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa Tanzania Mheshimiwa Masaki Okada mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Oktoba 24.11.PICHA/JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages