Rais Jakaya Kikwete Atunukiwa Digrii ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete Atunukiwa Digrii ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura akimtukunu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete digrii ya Heshima ya Udaktari wa sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) wakati wa Mahafali ya Arobaini na moja ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Wakati wa Mahafali hayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda alitunukiwa digrii ya Heshima Ya Udaktari wa Fasihi(Doctor of Literature Honoris Causa).Kushoto ni makamu mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mukandala.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani muda mfupi baada ya kutunikiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) katika Mahafali ya Arobaini na moija ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyofanyika katika jana katika ukumbi wa mlimani city.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages