
Foleni za usajiri ziliendelea Chimwaga baada ya jana kushindwa kumalizika kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma

Wanafunzi wakisikiliza kwa umakini maelekezo mbali mbali...Wiki hii ya orientation imeanza leo mpaka Ijumaa

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (UDOM)wakisikiliza maelekezo kutoka kwa viongozi mbali mbali wa Chuo(Picha zote na Waandishi Wetu Faddy linga na Anna Msonsa)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)