Wapenzi wadau na wasomaji wa napenda kuwafahamisha kuwa
Geofrey Mwakibete wa MO BLOG ambaye amebahatika
kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK
AWARDS katika kundi la Wapiga picha bora
wa Mitindo.
Bila nyinyi asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba
tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia
mtandao
Asanteni kwa Ushirikiano wenu.
Operation Manager.
MO BLOG.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)