Mkazi wa Dar es Salaam Akimsaidia Mtoto Kuweka Sawa Bidhaa Alizobeba Kwenye Baiskeli - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkazi wa Dar es Salaam Akimsaidia Mtoto Kuweka Sawa Bidhaa Alizobeba Kwenye Baiskeli

Mkazi wa Dar es Salaam akimsaidia mtoto kuweka sawa bidhaa alizobeba kwenye baiskeli. Kumekuwa na tatizo sugu la watoto kutumikishwa au kufanywa vibarua licha ya Serikali na mashirika binafsi kujitahidi kulitatua.Picha na Fadhili Akida

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages