MISS TANZANIA 2011/2012 SALHA ISRAEL AELEKEA NCHINI UINGEREZA TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA KATIKA FAINALI ZA MISS WORLD - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MISS TANZANIA 2011/2012 SALHA ISRAEL AELEKEA NCHINI UINGEREZA TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA KATIKA FAINALI ZA MISS WORLD

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akizungumza jambo na mama yake mzazi, Sabrina Hamisi (kulia) na mdogo wake Sania Izrael kwenye  uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 mudamfupi kabla hajaondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akiwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.

 Salha alipokuwa akielekea Uwanja wa ndege hii leo.

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kulia) katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.

 Kwa Picha Zaidi  <<< BOFYA HAPA >>>

Credits: FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages