MAONYESHO YA MIAKA 50 YA UHURU, BUNGE LANG'ARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAONYESHO YA MIAKA 50 YA UHURU, BUNGE LANG'ARA

Afisa wa Bunge Ndugu Patson Sobha akiwaelezea wananchi Historia ya Siwa ya Bunge (ambayo wengi wanapenda kuliita Rungu la Bunge) katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja
burudani kwa kwenda mbele katika Viwanja vya Mnazi mmoja!!
Mabango ya Bunge yaliyovuta hisia katika Maonesho hayo ni yale ya Majengo yaliyowahi tumika na Bunge pamoja na Historia ya Maspika
Wananchi wakimsikiliza Afisa Habari wa Bunge Owen Mwandumbya katika maonesho hayo.Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages