
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Bw. William
Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya
Waziri Mkuu yaliyoanza juzi tarehe 9/10/2011. Alitembelea mabanda
mbalimbali kujionea shughuli zinazofanywa na Idara, Taasisi na
Wajasiriamali katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Ofisi hiyo.Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)