Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakati wa Kilele cha
maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961,
zilizofanyika Chuoni hapo jijini Dar es Salaam leo .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Naibu Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt.
Asharose Migiro, wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo
hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Afrika Mashariki, Samuel Sitta.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa kwanza wa kike wa Taaluma ya
Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julie Manning, wakati wa
Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa
mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo jijini Dar es Salaam leo .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Kitivo cha
Sheria, baada ya kutoa tuzo kwa baadhi ya wanafunzi wa zamani wa Taaluma
ya Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)