Kijana aliyetuhumiwa kuiba simu ya mama mmoja ambaye
hakufahamika jina lake mara moja,akipanda gari la polisi baada ya kumuokoa
kutokana na kipigo alichokuwa akipata kutoka kwa wananchi wenye hasira kali
mijini Songea jana,
Askari
wa doria kutoka kituo kikuu cha polisi mjini songea wakimuokoa kijana
aliyetuhumiwa kuiba simu ya mama mmoja ambaye hakufahamika,asiendelee kupata
kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mjini songea
jana,
Kijana aliyeshukiwa kuwa ni kibaka akiwa amelala chini
kwa lengo la kuomba msaada baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa wananchi
wenye hasira baada ya kijana huyo kutuhumiwa kuiba simu ya mkononi ya mmoja wa
wapita njia karibu na kituo cha daladala cha soko kuu mjini songea jana.

Msamaria mwema kulia ambaye hakutaka kutaja jina
lake,akimuokoa kijana aliyekuwa akipata kipigo kutoka kwa watu wenye hasira
kali,kufuatia kijana huyo kumuibia abiria simu ya mkononi katika kituo cha
Daladala cha soko kuu mjini songea jana. Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)