MAFURIKO MWANANYAMALA KISIWANI,MTO NG'OMBE WAACHA NJIA JIJINI DAR ES SALAAM. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAFURIKO MWANANYAMALA KISIWANI,MTO NG'OMBE WAACHA NJIA JIJINI DAR ES SALAAM.

Wakazi wa Mwananyamala wakivuka Mto Ng'ombe kwa tabu ulioacha njia yake na kutengeneza njia nyingine baada ya mvua kunyesha maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam.Wakivuka kwa taabu
Wanafunzi na watu wazima wakivuka kwa hofu
Ni hatari ......
Hatariii hii kwa Watoto
Tazama watoto wako peke yao ni hatari hii.Pichaa Na Machellah Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages