Marehemu Maulid Hamad Maulid

Maelfu
ya wananchi wakishiriki katika kusindikiza Mwili wa Marehemu Maulid
Hamad Maulid (Mwanahabari)na kuelekea kuzikwa huko Bumbwini Wilaya ya
Kaskazini Unguja jana leo

Waumini
wa Dini ya Kiislamu wakimsomea Hitma Marehemu Maulid Hamada Maulid
katika msikiti wa mombasa kwa mchina, ambae alifariji juzi katika
hospitali ya mnazi mmoja Mjini Unguja.Picha Zote na Ramadhani
Othman,ikulu-Zanzibar





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)