Mabalozi Mbalimbali Nchini Watembelea Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Marehemu Abeid Amani Karume - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mabalozi Mbalimbali Nchini Watembelea Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Marehemu Abeid Amani Karume


Mabalozi wakiangalia meza ambayo ilivunjwa wakati akiuawa kwa risasi Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.
Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini,Juma Mpango, akisoma dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, mabalozi walipotembelea kaburi hilo jana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, eneo la Kisiwandui, Zanzibar.
Mnyama kiboko akiwa kwenye maji wakati mabalozi wakitembelea Hifadhi ya Ngorongoro,mkoani Arusha Jana baada ya kutoka zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini, pamoja na mtoto wa hayati Karume, Balozi Ali Karume (kulia waliokaa). Picha hiyo walipiga katika lango la kaburi la Karume, mjini Zanzibar jana.Picha zote na Tagie Mwakawago na Assah Mwambene  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages