
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule akifungua
mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi
wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo
yaliyoandaliwa na chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es
Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa wa Serikali yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule (hayupo
pichani) wakati akifungua mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo ni
maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara
hiyo.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa wa Serikali yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule akiongea jambo na Balozi Dk. Mohammed Maundi (kushoto) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia (kushoto) na Mwenyekiti wa bodi ya chuo hicho Balozi Charles Sanga (kulia) mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi
wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa
waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule (katikati
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa ofisi
za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo ambao ni washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)