kutoka igunga wakina mama wakimshangilia mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm dk kafumu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

kutoka igunga wakina mama wakimshangilia mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm dk kafumu

 
Akina mama wa kijiji cha Isekenese wakimshangilia mgombea ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Dalaly Kafumu wakati akiruka kwa helkopta baada ya kuwahutubia wananchi wa kijiji hicho. (Na Mpigapicha Maalumu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages