Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Bi Blandina Nyoni Afunga Kongamano La Wanahabari La Utafiti Wa Huduma Za Afya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Bi Blandina Nyoni Afunga Kongamano La Wanahabari La Utafiti Wa Huduma Za Afya


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Bi Blandina Nyoni(kushoto) akizungumza na wanahabari baada ya kufunga kongamano la wahariri na waandishi wa habari waandamizi kuhusu taarifa za tafiti za upatikanaji wa huduma za afya zilitolewazo na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) nchini. Kongamano hilo la siku mbili lilifanyika mjini Morogoro.Picha na Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages