KASEBA AWA BINGWA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KASEBA AWA BINGWA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI

Mabondia Japhert Kaseba 9kushoto) akipambana na Maneno Oswald wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa pointi..
Mabondia Japhert Kaseba kushoto) akipambana na Maneno Oswald wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa pointi..
Bondia,Alan Kamote wa Tanga akinyoshwa mkono juu na Refarii Yasina Abdalah baada ya kumshinda Yohana Robert wa Dar kwa pointi na kutawazwa kuwa bingwa wa kg.60 wa chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa TPBO katika pambano lililochezwa viwanja vya tangamano tanga mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages