JUDITH SANGU AIBUKA KIDEDEA MISS KIU 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JUDITH SANGU AIBUKA KIDEDEA MISS KIU 2011


Mrembo Judith Sangu usiku wa jana aliibuka kidedea baada ya kuwabwaga warembo wenzake katika shindano la kumsaka mlimbwende wa chuo kikuu cha Kampala International University(KIU).tukio hili lilituia katika ukumbi wa hoteli ya Savanna Lounge uliomo ndani ya jengo la Quality Center,UNIQUEENTERTZ blog ilkuwa mdhamini rasmi wa kutoa habari na matukio ya shindano hilo.
Warembo waliofanikiwa kuingia tatu bora ni Judith Sangu ndiye mshindi(katikati),Martha Kamanyola mshindi wa pili (kulia) na Asha Mohamed mshindi wa tatu(kushoto).
 Hii ndiyo tano bora kutoka kuilia ni Fatma Mganga,Zawadi mwambe,Asha Mohamed,Martha Kamanyola na Judith Sangu.
 Jumla ya warembo 13 walipanda jukwaa moja kuwania crown hiyo.
 
 Judith akijibu swali kiufasaha huku mamia ya watu wakimshangilia kwa mayowe ukumbini hapo.
 Judith  akitokwa na machozi ya furaha baada ya kutangazwa ndiye mshindi. 
Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages