Gari aina ya Cater lililokuwa na marobota ya
mwani likiwa katika bahari baada ya kuzama hivi karibuni kisiwani Pemba.
(picha na Nafisa Madai- maelezo zanzibar)
Wananchi wakisaidia kulivuta gari hilo baada ya
kuitoa baharini ilimokuwa imezama ikiwa na marobota.Picha Na Bashir Nkoromo







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)