Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari za
usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea
Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye
nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa mbili unusu usiku jana.
Watu wakiangalia
gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ
ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye
nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma
ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.

Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA 

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)