ZOEZI LA BOMOA BOMOA MAJENGO YALIYOJENGWA NDANI YA HIFADHI YA BARABARA HUKO MOROGORO LAENDELEA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZOEZI LA BOMOA BOMOA MAJENGO YALIYOJENGWA NDANI YA HIFADHI YA BARABARA HUKO MOROGORO LAENDELEA

Kituo cha Mafuta cha MT Camel kilichokuwa kinajengwa sangasanga Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro katika kona ya kuingilia barabara ya Mzumbe-Mlali kilikumbwa na dhoruba ya kubomolewa baada ya kujengwa katika hifadhi ya barabara. Jana Waziri wa Ujenzi alisema zoezi la kubomoa nyumba na vituo kama hivi vilivyojengwa barabarani litaanza kwa kasi na kushirikisha askari.Habari Kwa Hisani Ya Father Kidevu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages