Wanafunzi
wa Shule ya Msingi huko Ludewa Mkoa mpya wa Njombe wanasoma kwenye
Kanisa, Wizara husika zinayajua haya kweli ya watoto wetu ambao ni
Taifa la Leo na kesho!
KAPINGAZ BLOG INASEMA "TAFADHALI CHUKUENI HATUA LA SIVYO ELIMU YA WATOTO WETU ITAENDELEA KUDIDIMIA"
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)