Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua jengo la Bweni la wanafunzi walemavu
katika shule ya Msingi ya Mwisenge Mjini Musoma akiwa katika ziara ya
mkoa wa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 17,2011 Kulia ni Mkuu wa
wilaya ya Musoma Mjini Geofrey Ngatuni..
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi walemavu baada ya
kufungua baada ya kufungua bweni lao kwenye shule ya Msingi ya Mwisenge
Mjini Musoma Septemba 17,2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua daftari la mahudhurio katika kipindi
ambapo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alipokuwa akisoma.
Mheshimiwa Pinda alikuwa katika darasa alilosoma Mwalimu Nyerere kwenye
shule ya Msingi ya Mwisenge baada ya kufungua bweni la wanafunzi
walemavu kwenye shule hiyo Septemba 17,2011.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya
Musoma Mjini, Geofrey Ngatuni
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)