Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akihutubia baada ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Kilimo cha
Umwagiliaji katika kijiji cha Mariwanda wilayani Bunda akiwa katika
ziara ya mkoa wa Mara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua lambo la kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti baada
ya kupandikiza vifaranga wa samaki kwenye lambo hilo akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Mara
Waziri Mkuu, akimsadia Winfrida Makondo wa
kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti kubeba maji baada ya
kuzindua lambo la kijiji hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mara,
Septemba 20,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa
wa Mara, John Tupa wakikagua bwawa la Manchira lililopo Mugumu
wilayani Serengeti, Septemba 20,2011.Alikuwa katika ziara ya mkoa wa
Mara.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)