Waziri Mkuu Miezengo Pinda Akutana na Wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Miezengo Pinda Akutana na Wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha


Waziri Mkuu,MIzengo Pinda9Kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya pamoja ya Fedha (JFC),Abdulrahman  Jumbe (wapili kushoto) na Makamishina wa Tume hiyo,Dr.Juma Ngasongwa(kushoto)na Pinda Chana ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum baada ya mkutano wao,Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 28,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika picha ya pamoja na makamishina wa na Sekretarieti ya Tume ya Pamoja  ya Fedha(JFC)28,2011 baada ya kukutana nao,Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages