WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO

Brewmaster wa kampuni ya bia ya TBL Mr Justino Jekela akitoa maelezo kwa warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakati walipotembelea katika kiwanda hicho Ilala jijini Dar es salaam ili kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanyika kiwandani hapo.
Warembo wakiingia katika kiwanda cha TBL wakati walipotembelea kiwandano hapo mchana huu.
Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, mara baada ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kutembelea kiwanda hicho.Picha Na Habari Kwa Hisani Ya John Bukuku 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages