WANAFUNZI WA MUZIKI THT WAHITIMU MAFUNZO YA MIEZI NANE NA KUPATA VYETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA MUZIKI THT WAHITIMU MAFUNZO YA MIEZI NANE NA KUPATA VYETI

Mwanafunzi wa Leah Raymond akipokea cheti chake kutoka kwa mwalimu Kadinali Jento mra baada ya kuhitimu mafunzo ya muziki kwa miezi 8 katika kituo hicho katikati ni mkufunzi wa kituo hicho Rebbeca Young.
Mwanafunzi Ibrahim Madinda akipokea cheti chake kutoka kwa mwalimu Kadinali Jento mra baada ya kuhitimu mafunzo ya muziki kwa miezi 8 katika kituo hicho,katikati ni mkufunzi wa kituo hicho Rebbeca Young. 
Kwa Picha Zaidi  BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages