Wajumbe wa Bunge la Vijana Uingereza|URBAN PULSE| - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wajumbe wa Bunge la Vijana Uingereza|URBAN PULSE|

Urban Pulse Creative inawaletea video ya wawakilishi wetu Kutoka Tanzania Linda Kapinga na Lucy Minde katika Bunge la vijana lililoanza tarehe 6-10 Septemba 2011 hapa jijini London. Video hii imefanyika ndani ya ofisi za Ubalozi hapa nchini Uingereza wakati walipopata fursa ya kukutana na MH Naibu Balozi Chabaka Kilumanga pamoja na baaadhi ya Maofisa wa Ubalozi. 

Vilevile walifanya Mahojiano maalum na Jestina George kuhusu majukumu pamoja na mtazamo wao kwenye mkutano huu.
Asanteni,
URBAN PULSE  na Miss Jestina Blog Ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages