WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE WAKUTANA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE WAKUTANA ZANZIBAR

Mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mhe, Job Ndugai, (kushoto) akiwasili jana katika ofisi ndogo ya Bunge Zanzibar eneo la Tunguu tayari kwa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi. Kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Bw. Ibrahim Mzee na Afisa Mfawidhi wa ofisi ndogo ya Bunge Zanzibar Bw. Ramadhani Issa.
Wajumbe wa Kamati Tendaji
Wajumbe wa Baraza
Wajumbe wa Baraza wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar wakiongozwa na Katibu Mkuu TUGHE Taifa Bw. Ally Kiwenge na Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mcheya.
Wajumbe wa Baraza ambao wamejikuta wakipoteza nywele kila kukicha kwa kile kinachoitwa Academic Desert. Kutoka kushoto ni Abdallah Mwanga, Demetrius Mgalami, na Siegfied Kuwite 
Mgeni rasmi akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi
Wajumbe wa Baraza.(Picha zote na Prosper Minja-Bunge)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages