Rais wa zamani wa
Libya Muhammar Gaddafi.
Nitatia shaka kama
viongozi wote wa Bara la Afrika kama walimuelewa wakati anaonyesha picha hizi
wakati Taifa lake likiwa limevamiwa na Waasi wakishirikiana na majeshi ya NATO.
Ni matarajio yangu
ningesikia kiongozi ata mmoja wa kiafrika akihoji hili la kuangushwa utawala wa
Gaddafi, kwa bahati mbaya hakuna kiongozi hata mmoja aliyehoji hili mpaka
Bendera ya waasi ikapandisha, kuashiria ndani ya UN utawala wa Gaddafi ndio
mwisho.
Mimi binafsi
naamini kama kungekuwa na viongozi kama Kwame Nkhrumah, Nelson Mandela, Mwl.
Julius Nyerer,e Hyle se las, Martin Luther King, Malkom X, Samora Machel na
wengine wengi wapenda haki, kama kikao hiki cha 66 cha UN kingekalika.
Tunaona Israel
Waziri Mkuu wao anavyoonyesha ujasiri kwenye mambo ya Waisrael nampongeza sana,
ameonyesha uzalendo kwa wananchi wake.
KAPINGAZ Blog inasema; Viongozi wa
kiafrika mmetuaibisha kwa hili.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)