
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bw. George Kavishe
(katikati) akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana
kuhusu Tamasha la Kwanza la Bia Tanzania lililoandaliwa na Kilimanjaro
Premium Lager and Kampuni ya Bongo 5 mwezi ujao.Kushoto ni Mratibu wa
Matukio wa Bongo 5, Olive Nimaga na kulia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni
ya Bia Tanzania, Dorris Malulu.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)