CCM Yatoa Tathmini Ya Mambo Mbalimbali Yanayojiri katika Kampeni za CCM Za Uchaguzi Mdogo Jimbo La Igunga - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CCM Yatoa Tathmini Ya Mambo Mbalimbali Yanayojiri katika Kampeni za CCM Za Uchaguzi Mdogo Jimbo La Igunga


  KATIBU Mkuu wa CCM,Wilson Mukama akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi ya CCM wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kutoa tathmini na mambo mbalimbali yaliyojiri katika kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga utakaofanyika Oktoba 2, mwaka huu. Kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages