Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Seif Shariff Hamad akiwa katika
mazungumzo na Prof. Mark Mwandosya na Bwana Rodhey Mohan, Meneja Mkuu wa
Hospitali ya Apollo alipofika kumjulia hali Prof Mwandosya ambaye
amelazwa hapo kwa matibabu baada ya kuhitimisha ziara yake India iliyomchukua katika majimbo ya Andhara Pradesh, Kerala na Karnataka.
Kutoka
kushoto ni Mhe. Mohamed Aboud (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili,
Zanzibar), Mama Lucy Mwandosya, Bw. Radhey Mohan, Meneja Mkuu wa
Hospitali ya Apollo, Mhe. SEIF Shariff Hamad na Prof. Mwandosya
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)