SHULE YA MSINGI CHANGARAWE YAPEWA MSAADA WA PRINTA NA KOMPYUTA KUTOKA KWA MBUNGE WA MVOMERO AMOS MAKALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHULE YA MSINGI CHANGARAWE YAPEWA MSAADA WA PRINTA NA KOMPYUTA KUTOKA KWA MBUNGE WA MVOMERO AMOS MAKALA

Mbunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro (CCM), Amos Makala (kushoto) akikabidhi Kompyuta na Printa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Changarawe iliyopo Kata ya Mzumbe, Makunza Mloka. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni shule hapo baada ya Mbunge huyo awali kuipa fedha shule hiyo kiasi cha milioni 4/- kwaajili ya kugharimia umeme. Anaeshuhudia (katikati) ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Cryspin Chimbamizungu. PICHA/MROKI MROKI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages