Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na idara Maalum Ya Vikosi Vya SMZ - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na idara Maalum Ya Vikosi Vya SMZ

Baadhi ya Viongozi wakuu wa vikosi vya SMZ,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,walipokuwa na mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Idara maalum ya Vikosi vya SMZ, iliyochini ya Wizra ya nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi IKulu Mjini zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages