Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mtoto Said Gerald aliyelazwa katika
hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar baada ya kunusurika katika ajali ya
meli iliyotokea Unguja juzi usiku.Aliyempakata mtoto Said ni mama yake
mdogo Mariam Hemed.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu
kushoto) akiwa pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein(wane
kushoto),Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad(kulia),
Waziri wan chi ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais anayeshughulikia maafa
na muungano, Mohamed Abood Mohamed pamoja Rais Mstaafu wa Zanzibar
Amani Abeid Karume wakiwa katika viwanja vya Maisara Unguja kukagua
shuguli za kushugulikia miili iliyoopolewa pamoja na kuwafariji wafiwa
baada ya kuzama kwa meli huko Unguja juzi usiku
(picha na Freddy Maro).
(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)