Rais Dk. Shein akagua mradi wa maji Kizimkazi Dimbani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Dk. Shein akagua mradi wa maji Kizimkazi Dimbani

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua za majaribio ya Tangi la maji safi na salama katika kijiji hicho leo.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,Kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mustafa Ibrahim,wakati alipofika Kizimkazi Dimbani kuangalia hatua za kukamilika kwa mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji safi na Salama katika kijiji hichom leo.
Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanafuzi wa Skuli katika kijiji cha kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua za majaribio ya tangi la maji safi na salama katika kijiji hicho jana. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages