Mwenyekiti
wa mbio za mashua Nicholus Zervos (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kuhitimisha mbio hizo
zilizoshirikisha mataifa 17 kulia ni Meneja wa Vodacom Mkoa wa Dar
es salaam na Ukanda wa Pwani Bw. Henry Tzamburakis ambao pia
wadhamini wakuu wa mbio hizo.
Meneja
wa Vodacom Mkoa wa Dar es salaam na Ukanda wa Pwani Bw. Henry
Tzamburakis (kushoto) akikabidhi vyeti kwa washindi wa mbio za
mashua zilizohitimishwa hivi karibuni katika ufukwe wa Yatch Club
jijini Dar es salaam.
Kikundi
cha sanaa kikitumbuiza kwa burudani mbalimbali wakati wa hitimisho
la mbio za mashua zilizomalizikia Yatch Club jijini Dar es salaam
hivi karibuni na kudhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya
Vodacom Tanzania.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)