Papazi mdhamini mwenza wa Vodacom Miss Tanzania 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Papazi mdhamini mwenza wa Vodacom Miss Tanzania 2011


 Mkurugenzi wa Papazi, Hans Pope (kulia) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni yake katika shindano la Vodacom Miss Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
 
Picha mbalimbali za washiriki wa shindano la Miss Tanzania wakiwa katika pozi. Papazi imesema warembo watatu watakaopenda kujiingiza katika Ulimwengu wa sanaa za maigizo watafadhiliwa na kampuni hiyo pamoja na Miss Papazi atake pata US 1000. Pia Kampuni hiyo itaongeza zawadi kwa washindi wa tatu wa mwanzo.Habari Kwa Hisani Ya Father Kidevu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages