Mtuhumiwa Atoroka Mahakamani. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mtuhumiwa Atoroka Mahakamani.

Askari polisi wakimdhibiti Bw Mohamedi nditi katikati ili asikimbie baada ya jaribio lake la kutaka kutoroka chini ya ulinzi wa polisi hao kushindikana jana mbele ya mahakama ya mkoa Ruvuma, 
Askari akimpeleka ndani ya chumba cha mahakama bw Mohamed Nditi kufuatia kutaka kutoka chini ya ulinzi katika mahakama ya mkoa Ruvuma.kufuatia kukabiliwa na tuhuma za kuvunja na kuiba,
Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa wa Ruvuma,Batisita muhelela,kushoto akimsilikiza askari polisi aliyefahamika kwa jina moja la koplo Bryton,kulia baada ya polisi kumkamata tena bw Mohamed nditi kufuatia kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili mahamani hapo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages