Mtoto Cesilia Edward Mwenye Matatizo Ya Moyo Linalosababisha Kuvimba Tumbo Yupo tayari kwa Safari ya New Delhi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mtoto Cesilia Edward Mwenye Matatizo Ya Moyo Linalosababisha Kuvimba Tumbo Yupo tayari kwa Safari ya New Delhi

Meneja wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Hamid Abdulkarim akiwa amemshika mkono Cesilia Edward (14) mwenye tatizo la moyo linalosababisha kuvimba tumbo akitoka Hospitali ya Regency tayari kwa safari ya New Delhi, India kwa matibabu.Picha na Yusuf Badi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages