MTOTO WA MIAKA 8 AOKOLEWA AKIWA HAI KATIKA ZOEZI LA UOKAJI LINALOENDELEA MARA BAADA YA MELI YA LCT SPICE IRELAND KUZAMA USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MTOTO WA MIAKA 8 AOKOLEWA AKIWA HAI KATIKA ZOEZI LA UOKAJI LINALOENDELEA MARA BAADA YA MELI YA LCT SPICE IRELAND KUZAMA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mtoto mwenye umri wa Miaka ameokolewa akiwa mzima kabisa na waokoaji ambao wanaendelea na zoezi zima la uokoaji katika bahari ya hindi ambapo Meli ya LCT Spice Ireland ilizama hapo usiku wa kuamkia leo na inakadiri kuwa watu zaidi ya 300 wamepoteza maisha huku wengi zaidi ya 250 wakiokolewa.
.................

Timu Nzima Ya LUKAZA BLOG INAPENDA KUTOA POLE KWA NDUGU, JAMAA,MARAFIKI PAMOJA NA TAIFA KWA UJUMLA KWA KUPOTEZA RASILIMALI WATU. TUNAPENDA KUUNGANA NA TAIFA KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU ULIOKUTA TAIFA.

MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEPA PEPONI AMINA

- JOSPHAT LUKAZA -
- SUPER BRAND BLOG -

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages