MSANII HAACHI SANAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSANII HAACHI SANAA

Mmoja kati ya wachoraji wanaofanya shughuli zao za uchoraji pembezoni mwa Barabara ya Kilwa, eneo la Kamata, akiosha baiskeli yake huku akichota maji kwa kutumia 'Gambuti' kuchota na kumwagia baiskeli yake ili kuosha Baiskeli hiyo kama alivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto leo. 
Ama Kweli Msanii Haachi Sanaa.Picha Na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages