MPIRA UNAENDELEA NA GOLI NI TAIFA STARS 1 NA ALGERIA NI 1 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MPIRA UNAENDELEA NA GOLI NI TAIFA STARS 1 NA ALGERIA NI 1

Wachezaji wa Stars, wakimpongeza mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, aliyeifungia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza Dakika ya 22, baada ya mpira wa adhabu uliopigwa na Nizar Khalfan.
Kiungo mshambuliaji wa Stars, Abdi Kassim, akimtoka beki wa Algeria, Bouggera Madjid.
Dany Mrwanda, akimtoka beki wa Algeria.
Mfungaji wa bao la kuongoza Mbwana Samatta, akimtoka beki wa Algeria.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages