MOI YATHIBITISHA KUONGEZEKA KWA VIFO NA MAJERUHI KUTOKANA NA AJALI ZA BARABARANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MOI YATHIBITISHA KUONGEZEKA KWA VIFO NA MAJERUHI KUTOKANA NA AJALI ZA BARABARANI

Taasisi yaTiba ya Mifupa MOI imesema pamoja na kupata mafanikio katika suala zima la upasuaji, lakini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo suala la kuongezeka kwa wagonjwa wanaotokana na ajali za barabarani nchini.

Kauli hiyo imetolewa jijini DSM na Afisa uhusiano Mwandamizi wa taasisi hiyo JUMAA ALMASI wakati alipokuwa akizungumza na kituo hiki.

Amesema miongoni mwa mafanikio hayo ni pamoja na uanzishwaji wa Oparesheni kadhaa ambazo ni ubadilishaji wa nyonga, viungo mbalimbali vya goti, upasuaji wa mgongo pamoja na ubongo.
Matukio hayo tofauti ya ajali yametokea Mkoani Morogoro hivi karibuni ya yamekujia hapa kwa Hisani kubwa ya Juma Mtanda kutoka Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages