Mjue Mtanzania Sensei Kaliboti - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mjue Mtanzania Sensei Kaliboti

Sensei Kaliboti ni Mtanzania aneishi nchi Australia akifanya kazi ya ualimu wa sanaa za mapambano. Blog yetu ilipata bahati kufanya mahojiano nae, zaidi tulimuomba atupe maelezo machache kuhusu yeye na libeneke zima la sanaa ya mapambano. Sensei Kaliboti ni mmoja wa wataalamu na hazina ya Taifa letu kama tukiweza kuwatumia wataalam kama hawa basi naamini ndoto zetu za kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa na kufanya vizuri inawezekana. 
 
   Gonga Hapa WABONGO UGHAIBUNI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages