Mkuu Mpya wa Mkoa
wa Mbeya Abbas
Kandoro baada ya kumaliza kula kiapo cha kuutumikia Mkoa wa Mbeya.
Soko la Sido
Mwanjelwa Mbeya likiwa linateketea mwishoni mwa wiki iliyopita.
Muathirika wa
Mashambulizi ya kupigwa Nondo na watu wasiojulikana ndani ya Jiji la
Mbeya.
Soko la Forest
Mbeya, baada ya Soko la Sido Mwanjelwa kuungua likafuata na hili
kuungua.
KAPINGAZ Blog kwa
kutambua utendaji kazi wa Mh. Abbas Kandoro akiwa Mwanza na Dar es salaam ambayo yote
haya ni Majiji tunategemea haya yote ambayo yanawaathiri watu wa Mbeya
hasa
kiuchumi kwa kuipoteza nguvu kazi yao yanaweza kwisha au kupungua kwa
kiasi kikubwa sana kwa kupangiwa kwako Jiji hili.
Tunaomba wana Mbeya
wote wake kwa waume, vyombo vyote vya usalama na Taasisi zote wampe
ushirikiano ili majanga haya yote yaweze kuaisha kabisa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)